Mzizi Tanzania
Member
- Mar 3, 2020
- 70
- 39
Hatar sana mkuu hii bei,60,000
Ngocho ndo gar gani mkuuKwa tar hiyo utapata gari ambazo ni ngocho tu...labda treni
Shukran sana mkuuAndaa 30000 ukipigwa sana 35 tu. kata tiketi online
Sjafika uchumi wa Kati kakaPanda ndege.
Naweza kupata magar memgine bossTarehe hizo kupata gari unalolihitaji siyo rahisi labda usafiri binafsi
Gari mbov mbovu tuNgocho ndo gar gani mkuu
Ok mkuuGari mbov mbovu tu