Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 972
- 441
Habarini za muda wakuu. Naombeni mnisaidie kunielewesha maana nimejisajili nacte ili nifanye application ya diploma kama zinavo onekana kwenye guidebook yao lakini baada ya kulipia nakuta course categories zilizopo ni Health and Allied Science na teaching lakini zile za diploma in engineering, computer science, agriculture, and other related science programs haipo na ndio ninavovitaka nifanyaje wakuu? Na kwann imekuwa ivyo?