Okey km ni hivo chagua option ya kupata driver kwa kutumia hizi software mbili ya kwanza dowload driver identifier mm sku zote huwa natumia hii computer ikimiss driver ww google tu than utaona set up yake fanya installation ila hakikisha uwe online namaanisha unaweza ukaweka modem uka acces internet ikishakubali wakati uko online ifungue itascan na itasoma kutokana na aina ya computer yako itakuletea driver iliyomiss than dowload.
Ya pili ukiona hiyo huwezi dowload driver max google than utadowload hii inajitegemea nayo ina acces internet ukishafanya instalation itaifungua utaenda one way kwenye driver dowload and info ukifungua hapo utaona sehemu identify unkonown hardware utaclick hapo itakuletea kilicho miss
Option ya mwisho ni ya mzunguko sana hii niyakutumia driver pack solution ila jaribu hizo kwanza utupe mrejesho