Msaada juu ya kukoswa na hedhi baada ya kujifungua

naro

Member
Apr 15, 2013
96
36
Wanajf naombeni msaada,nilijifungua tar26 mwezi wa 9 tena kwa bahati mbaya mtoto alifia tumboni kutokana na chupa kukauka japo pia sijajua hilo tatizo lilitokana na nini maake utrasound tar19 mwezi huohuo ilionyesha kuna maji ya kutosha.

Lakini had leo hii sijapata hedhi najiuliza naweza nikawa na tatizo gani tena mimi? na naweza kutumia dawa gani kulitibu hilo tatizo? msaada pls!
 
Pole sana mdogo wangu, yawezekana ni kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, pia acha kufanya sex kwa muda wa miezi 6 kuepuka complication!

Kikubwa nenda kwa daktari umwambie tatizo lako, ngoja pia nimwite dr wetu wa hapa jukwaani! Mzizi Mkavu njoo kuna mgonjwa!
 
Last edited by a moderator:
Acha kufanya sex wakati bdo wewe ni mgonjwa, atleast after 6 month! Kama unashndwa kujizuia jaribu kufanya kwa njia nyingini ie oral sex, naro
Hata mimba sina maake nimepima mara 2 bila mafanikio.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mdogo wangu, yawezekana ni kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, pia acha kufanya sex kwa muda wa miezi 6 kuepuka complication! Kikubwa nenda kwa daktari umwambie tatizo lako, ngoja pia nimwite dr wetu wa hapa jukwaani! Mzizi Mkavu njoo kuna mgonjwa!

Ahsante sana kwa ushauri wako, nadhani kwa kpnd hiki itawezekekana kuutumia maana mume wangu kafanyiwa operation lakini bila hilo ingekuwa kazi maana ndugu zetu hawa wengi wao ni wagumu sana ukimwambia aache na ukizingatia mtu alikuwa na kiporo cha kusubirishia ujifungue.

Ubarikiwe!
 
Last edited by a moderator:
Wanajf naombeni msaada,nilijifungua tar26 mwezi wa 9 tena kwa bahati mbaya mtoto alifia tumboni kutokana na chupa kukauka japo pia sijajua hilo tatizo lilitokana na nini maake utrasound tar19 mwezi huohuo ilionyesha kuna maji ya kutosha.Lakini had leo hii sijapata hedhi najiuliza naweza nikawa na tatizo gani tena mimi? na naweza kutumia dawa gani kulitibu hilo tatizo? msaada pls!
Pole sana kwa hilo kwa kutoona hedhi, Kuna maswali ningependa kukuuliza ili kujua tatizo ni nini

1.Ujauzito ulikua wa miezi mingapi wakati mtoto anafia tumboni?
2. Vipi matiti yako yanatoa maziwa au hapana?

3. Ulipatwa na tatizo lolote baada ya kiumbe kufia tumboni kama vile kupoteza damu nyingi, uchafu wenye harufu mbaya kutoka ukeni?

4. Mabaki ya kiumbe kilichofia tumboni yalitoka yenyewe yote au ulilazimika kupelekwa chumba cha upasuaji kusafishwa?

Nitashukuru kupata hayo majibu ili tujue tatizo ni nini?
 
Pole sana mdogo wangu, yawezekana ni kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, pia acha kufanya sex kwa muda wa miezi 6 kuepuka complication! Kikubwa nenda kwa daktari umwambie tatizo lako, ngoja pia nimwite dr wetu wa hapa jukwaani! Mzizi Mkavu njoo kuna mgonjwa!
Hakuna zuio lolote kitalaam la mwanamke kutofaya tendo la ndoa/sex kwa sababu tu ya kutoona siku zake. Yuko huru kufanya sex bila wasiwasi wowote
 
Ahsante sana kwa ushauri wako,nadhani kwa kpnd hiki itawezekekana kuutumia maana mume wangu kafanyiwa operation lakini bila hilo ingekuwa kazi maana ndugu zetu hawa wengi wao ni wagumu sana ukimwambia aache na ukizingatia mtu alikuwa na kiporo cha kusubirishia ujifungue. ubarikiwe!

Dah siku ya kuupiga ukame teke lazima muhesabu majeraha.
 
Pole sana kwa hilo kwa kutoona hedhi, Kuna maswali ningependa kukuuliza ili kujua tatizo ni nini
1.Ujauzito ulikua wa miezi mingapi wakati mtoto anafia tumboni?
2. Vipi matiti yako yanatoa maziwa au hapana?
3. Ulipatwa na tatizo lolote baada ya kiumbe kufia tumboni kama vile kupoteza damu nyingi, uchafu wenye harufu mbaya kutoka ukeni?
4. Mabaki ya kiumbe kilichofia tumboni yalitoka yenyewe yote au ulilazimika kupelekwa chumba cha upasuaji kusafishwa?
Nitashukuru kupata hayo majibu ili tujue tatizo ni nini?
Ahsante ndugu. nielekee moja kwa moja kwenye majibu ya maswali

1. Ujauzito ulikuwa wa wiki 41 na siku3 ambapo ni kama miezi 10 kasoro.2.matiti hayatoi maziwa,baada ya kujifungua nikakaa kama siku tatu ndo yakaanza kutoka lakin yalitoka kama wk1 yakakatika.3 sikupatwa na tatizo lolote. 4 nilijifungua kawaida hospital maana nilipata uchungu kawaida nikawahi hospital baada ya siku 1 nikajifungua lakin kabla ya kujifungua wakiwa wanaichek njia meconium ikatoka na ndipo nikafanyiwa vpmo na kukuta mtoto kafariki,chupa imekauka na wakati nimejfungua katka kumfuta mtoto akachubuka mgongoni nikaambia itakuwa alifariki 1 day before.

pia uchafu usio nuka lakn ulichelewa sana kuisha yaan had saiz naweza kusema haujawa 100 percent msafi kama normal.

nanilienda hospital doctor alinifanyia check up kwa utrasound nikaambiwa kuna tuuvimbe kwenye ovaries,simple ovarian cyst.nikapewa dawa.
 
Hakuna zuio lolote kitalaam la mwanamke kutofaya tendo la ndoa/sex kwa sababu tu ya kutoona siku zake. Yuko huru kufanya sex bila wasiwasi wowote

Aisee ahsante kwa kuniondoa hofu nilianza kuogopa sana maana kuna mama mmoja wakati naondoka nyumbani naenda kwa bwana aliniambia usisex mpaka uone siku zako sasa nikawa naogopa kwa labda ndo madhara ya kusex kabla.
 
Wanajf naombeni msaada,nilijifungua tar26 mwezi wa 9 tena kwa bahati mbaya mtoto alifia tumboni kutokana na chupa kukauka japo pia sijajua hilo tatizo lilitokana na nini maake utrasound tar19 mwezi huohuo ilionyesha kuna maji ya kutosha.Lakini had leo hii sijapata hedhi najiuliza naweza nikawa na tatizo gani tena mimi? na naweza kutumia dawa gani kulitibu hilo tatizo? msaada pls!
Bibie naro Pole sana jaribu kwenda Hospitali kawaone Ma-Daktari ikishindikana hujafanikiwa nione mimi ninaweza kukutibu tatizo lako na ukapata hiyo daum yako ya hedhi nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

Naamini wataalamu wapo wa kumwaga humu....na watatua tatizo lako........... MziziMkavu
Vipi mkuu KikulachoChako Hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Bibie naro Pole sana jaribu kwenda Hospitali kawaone Ma-Daktari ikishindikana hujafanikiwa nione mimi ninaweza kukutibu tatizo lako na ukapata hiyo daum yako ya hedhi nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

Ahsante mkuu huwa nakuamini sana kwenye hili jukwaa.ntakutafuta!
 
Last edited by a moderator:
Bibie naro Pole sana jaribu kwenda Hospitali kawaone Ma-Daktari ikishindikana hujafanikiwa nione mimi ninaweza kukutibu tatizo lako na ukapata hiyo daum yako ya hedhi nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

Vipi mkuu KikulachoChako Hujambo lakini?

Mimi sijambo mkuu....twafadhali msaidie mwanajamii mwenzetu....ili nawe awe huru....si unajua maradhi yanavyokera....mkuu...??
 
Last edited by a moderator:
Ahsante ndugu. nielekee moja kwa moja kwenye majibu ya maswali
1. Ujauzito ulikuwa wa wiki 41 na siku3 ambapo ni kama miezi 10 kasoro.2.matiti hayatoi maziwa,baada ya kujifungua nikakaa kama siku tatu ndo yakaanza kutoka lakin yalitoka kama wk1 yakakatika.3 sikupatwa na tatizo lolote. 4 nilijifungua kawaida hospital maana nilipata uchungu kawaida nikawahi hospital baada ya siku 1 nikajifungua lakin kabla ya kujifungua wakiwa wanaichek njia meconium ikatoka na ndipo nikafanyiwa vpmo na kukuta mtoto kafariki,chupa imekauka na wakati nimejfungua katka kumfuta mtoto akachubuka mgongoni nikaambia itakuwa alifariki 1 day before. pia uchafu usio nuka lakn ulichelewa sana kuisha yaan had saiz naweza kusema haujawa 100 percent msafi kama normal. nanilienda hospital doctor alinifanyia check up kwa utrasound nikaambiwa kuna tuuvimbe kwenye ovaries,simple ovarian cyst.nikapewa dawa.

Inaonekana kiumbe kufia tumboni ilichangiwa pia na kupitiliza tarehe(post dates)

Tarehe zinavozidi kupita(zaidi ya week 40) kondo la nyuma(placenta) inazeeka, na majimaji ya ndan ya mfuko wa mimba(amniotic fluid) hupungua pia na hivyo kuhatarisha uhai wa kiumbe.

Kwa kuwa bado yanatoka majimaji yasiyo ya kawaida ukeni, unaweza ukawa na mabaki kidogo ya vipande vya kondo/au maambukizi ya bacteria kwenye ukuta wa ndani wa kizazi.

Cha kufanya nenda hospital uombe kuonana na daktari bingwa wa kinamama kwa uchunguzi zaidi ikiwemo kukupima, kuchukua vipimo(High Vaginal Swab) na ultrasound.

Otherwise iwapo kama hautakutwa na tatizo lolote unaweza kuwa kati ya wale wakinamama wachache ambao pamoja na kutonyoyesha huchukukua mpaka miezi mitatu hedhi kurejea baada ya kujifungua.
 
Inaonekana kiumbe kufia tumboni ilichangiwa pia na kupitiliza tarehe(post dates).Tarehe zinavozidi kupita(zaidi ya week 40) kondo la nyuma(placenta) inazeeka, na majimaji ya ndan ya mfuko wa mimba(amniotic fluid) hupungua pia na hivyo kuhatarisha uhai wa kiumbe. Kwa kuwa bado yanatoka majimaji yasiyo ya kawaida ukeni, unaweza ukawa na mabaki kidogo ya vipande vya kondo/au maambukizi ya bacteria kwenye ukuta wa ndani wa kizazi.Cha kufanya nenda hospital uombe kuonana na daktari bingwa wa kinamama kwa uchunguzi zaidi ikiwemo kukupima,kuchukua vipimo(High Vaginal Swab) na ultrasound.
Otherwise iwapo kama hautakutwa na tatizo lolote unaweza kuwa kati ya wale wakinamama wachache ambao pamoja na kutonyoyesha huchukukua mpaka miezi mitatu hedhi kurejea baada ya kujifungua.

Ahsante sana kwa ushauri wako mzuri,be blessed!
 
Back
Top Bottom