Unatumia mita ya aina gani kwanza maana mita ya bahdela na inhemiter zina utofaut wa kuangalia salio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe kufahamu jinsi ya kuangalia salio la umeme wa Luku kwenye hiki kimashine cha kuingizia umeme cha Tanesco naombeni msaada wenu!
Sent using Jamii Forums mobile app