Msaada Juu ya kuangalia Salio la umeme LUKU

Credere Potest

JF-Expert Member
Feb 26, 2016
217
298
Mwenyewe kufahamu jinsi ya kuangalia salio la umeme wa Luku kwenye hiki kimashine cha kuingizia umeme cha Tanesco naombeni msaada wenu!
 
Kuna mita za aina tofauti yaani wasion, clo, abacus, conlog, star, actaris etc na kila kundi lina code yake mfano clo 07, wasion 003 etc
 
Mimi natumia 003 halafu Ok

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ukiwasha kwenye umeme inaleta salio kwenye screen, au vi remote vimetofautiana?
 
Kuna mita za aina tofauti yaani wasion, clo, abacus, conlog, star, actaris etc na kila kundi lina code yake mfano clo 07, wasion 003 etc
Habari mkuu! kwa maelezo yako haya mi natumia CLO Lakini naomba kujua naangalia vipi umeme wa mwisho kuwekwa kwenye Luku?
 
Back
Top Bottom