Msaada juu ya kuandika C.V

Msaada juu ya kuandika C.V

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,648
Reaction score
3,807
Habari zenu wana jamvi
Naomba kuuliza kwenye uandikaji wa CV unaweza kueka experince kuhusu ujasiriamali uliowahi kufanya?
Mchango wako ni muhimu
 
jaman tuache uvivu watanzania ugoogle 2 inakuja tena american style. au tafuta kitbu cha comunication skills
 
Uko google cdhan km ntapata majibu sahihi mana ujasiriamal nlopitia mm hauna vielelezo wala uthibitisho wowote,,na nishafanya michakato kibao ya utafutaji,,ss najiuliza nieeke au niiache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom