Msaada juu ya kozi ya Masters ya kusoma

losiraa

Member
Nov 17, 2018
51
27
Wadau poleni na majukumu,

1.ninaomba ushauri wenu juu ya kozi nzuri ya master's, Nina Bachelor Degree of Education major in History minor in kiswahili.

2.Kwa wanaofahamu je ninaweza kusoma master's ya linguistics?

3. Pili kwa mwenye ufahamu juu ya master's of Educational Assessment and Evaluation anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
losiraa,
Kama mpaka sasa hujui kozi gani ya masters ukasome kidogo inashangaza!

Mimi nakushauri achana na hizo masters kwa sasa unless kama una malengo ya kuwa Profesa au umeahidiwa mshahara mrefu mahali! Otherwise kama una access ya Laptop na bandle basi ingia kwenye hizi sites tafuta ujuzi wowote utakaopenda jisomee taratibu...

Online Courses - Learn Anything, On Your Schedule | Udemy (Dola 13 Per course)
Free Online Marketing Courses From Google (Free courses na baadhi za kulipia)
YouTube (Hii ni free, just search kila kitu kitakuja)
Coursera | Online Courses & Credentials by Top Educators. Join for Free (Free and paid)

Kwa kozi zenye pesa huko majuu ambazo ukisoma na ukizi master huwezi kosa ela ya kula ni hizi...

1. Website design/development.

2. Digital marketing (Hasa Facebook marketing na Instagram)

3. Copywritting

4. Graphics Design (Jifunze Photoshop na Illustrator)

Hizo ndio zenye soko huko duniani, ukisha soma moja na kuimaster basi jiunge websites kama freelancer.com, fiverr.com au upwork.com uanze kufanya kazi kama freelancer!!

NB: Haya ni mawazo sio sheria. kuliko utumie 5Milion+ kusoma master ambapo utamaliza ujikute huna kazi its better kutenga miezi 6 tu kusoma ujuzi mpya ambao utakuingizia pesa miaka mingi ijayo!!

TIME = MONEY, Don't waste it!
 
Haya mambo ya ualimu haya ni kujinyima fursa sijui nani anawashauligi msome ualimu. Mara 10000 usome hata business Administration
 
losiraa,
Kama mpaka sasa hujui kozi gani ya masters ukasome kidogo inashangaza!

Mimi nakushauri achana na hizo masters kwa sasa unless kama una malengo ya kuwa Profesa au umeahidiwa mshahara mrefu mahali! Otherwise kama una access ya Laptop na bandle basi ingia kwenye hizi sites tafuta ujuzi wowote utakaopenda jisomee taratibu...

Online Courses - Learn Anything, On Your Schedule | Udemy (Dola 13 Per course)
Free Online Marketing Courses From Google (Free courses na baadhi za kulipia)
YouTube (Hii ni free, just search kila kitu kitakuja)
Coursera | Online Courses & Credentials by Top Educators. Join for Free (Free and paid)

Kwa kozi zenye pesa huko majuu ambazo ukisoma na ukizi master huwezi kosa ela ya kula ni hizi...

1. Website design/development.

2. Digital marketing (Hasa Facebook marketing na Instagram)

3. Copywritting

4. Graphics Design (Jifunze Photoshop na Illustrator)

Hizo ndio zenye soko huko duniani, ukisha soma moja na kuimaster basi jiunge websites kama freelancer.com, fiverr.com au upwork.com uanze kufanya kazi kama freelancer!!

NB: Haya ni mawazo sio sheria. kuliko utumie 5Milion+ kusoma master ambapo utamaliza ujikute huna kazi its better kutenga miezi 6 tu kusoma ujuzi mpya ambao utakuingizia pesa miaka mingi ijayo!!

TIME = MONEY, Don't waste it!
Asante sana ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom