Msaada juu ya kombi ya kusoma

changamoto ya CBG lazima kwa matokeo yako ukatafute E Ya BAM, Kama utachemka unaweza kosa kozi zako pendwa chuo kikuu.
 
Kwa ufupi tu, advance ni sehemu ya kupotezea muda. Nenda chuo kachukue diploma ya kitu unachotaka kukisoma.
Kaka umeona mbali, kama akikuelewa akafata ulicho mwambia, hata juta baadae.

Kikubwa kikubwa jitafakari unapenda hudumu kwa kufanya kitu gani, nenda kachukue diploma ya hiyo fani. Kila la kheri
 
Anakupoteza huyu. Kwenda hge wakati una mswaki wa math ni sawa na kujaribu kubeba junia la kg 100 wakati uzito wako ni kg 40..
HAKUNA kozi mbaya, soma ile unaweza kumudu
 
Anakupoteza huyu. Kwenda hge wakati una mswaki wa math ni sawa na kujaribu kubeba junia la kg 100 wakati uzito wako ni kg 40..
HAKUNA kozi mbaya, soma ile unaweza kumudu
Wwe ndo unayempoteza dogo unamtengenezea hofu hamna watu wanaosoma hge na wanamiswaki olevo alafu chengine nakushauri dg kupata one hge ni kazi rahisi kuliko hgl kwa sababu advance kupiga uchumi A au B no kawaida ila language unaweza ukapiga A olevo advance ukatoka na d Kama unasoma hgl na advance language hkl ndo wanaiweza Sana tofauti na hgl nimekuambia nenda hge kwa sababu ukipata E yako ya bam tayar umeula Tena na Kama umepiga one utakuwa unafaida kubwa kwenye uchaguzi was course chuoni alafu hesabu Sasa hivi kila sehemu zipo chuoni hata watu wanaosoma course za kawaida wanapiga hesabu usimsilize huyu kichwa hamna anakupoteza na nahisi ndo wale wakati wanasoma walikuwa wanajifanya mabingwa wa kiswahili shuleni
 
HKL
 
Umepataje division 1 na F ya Math?
 
Kasome HKL achana na sayansi utafaulu vizuri ndugu
 
Kwa ufaulu wako ni wazi umefaulu vizuri languages and arts subjects. Sioni kwa nini unataka CBG ambayo itakulazimisha upambane na BAM . CBG ukichukua degree zote za afya unazimwaga automatically- je umelifikiria hilo? Ushauri wangu tafuta combi nzuri ya arts ukapambane huko. All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…