Msaada juu ya Kampuni ya Vifurushi

Msaada juu ya Kampuni ya Vifurushi

BABA CHANJA

Member
Joined
May 23, 2013
Posts
75
Reaction score
7
Wakuu naomba mwenye kujua kampuni ya kusafirisha vifurushi (courier company) inayoweza kuniletea kipasel changu mpaka dar anisaidie ili ndugu yangu atumie hiyo na je gharama zao zipoje kwa mfano Uganda to TZ
SHUKRANI NATANGULIZA
 
Back
Top Bottom