Msaada juu ya Kampuni hii


Brooklyn

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
1,461
Likes
55
Points
145
Brooklyn

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
1,461 55 145
Poleni na majukumu wana JF!

Kuna rafiki yangu amepata gari kwa reasonable price toka kwa car dealer aliye Japan anaitwa BUDDY CORPORATION. Nimejaribu kumshauri afanye due diligence ili aweze kujua credibility ya kampuni hii. Naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu au aliyewahi kudeal na kampuni hii ili tuweze kumsaidia ndugu yetu kabla hajatransfer fund!!

So far tumepitia black listed companies kwenye website ya tradecarview (kwa sababu ndiko alikoipata hiyo company) na BUDDY CORPORATION hawako listed.
 

Forum statistics

Threads 1,237,470
Members 475,533
Posts 29,289,704