okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,739
Sijakopa mkuuDawa ya deni ni kulipa tu kaka. Kuzuia simu haitasaidia.
Sijakopa Mkuu, naomba nisaidiwedawa ya mimba ni kulea tu kaka. Kuzuia simu haitasaidia
kuzuia watu wote au mtu mmoja?Wapendwa amani ya bwana iwe juu yenu!!!!!!!
Naomba msaada wa namna IPI niitumie kuzuia simu yangu kupokea miito( calls) ilihali Niko hewani,
Nimejaribu kwenda play store app nyingi nikipakua na kuanza kupiga simu inaita halafu inaandika user bussy
Lengo LA Mimi ni
kupata app ambayo MTU akinipigia simu aambiwe sipo hewani au simu ijam tu
Hapa nataka kuzuia all incoming calls kwa sababu kuna MTU ananisumbua sana no kubadili laini sitaki au kuzima simu ziwezi,
Mkuu nataka watu wore ila niendelee kua hewankuzuia watu wote au mtu mmoja?
sasa uwe hewani ili iweje na hutaki kupigiwa [emoji20]Mkuu nataka watu wore ila niendelee kua hewan
bora kuwa mkweli kuliko kuangaika mwambie ukweli na ukweli si dhambi asipokuelewa atakuelewa muda mwingine kuliko kujaa mawazo yasiyo sahihi moyoni na kujiangaisha bureWapendwa amani ya bwana iwe juu yenu!!!!!!!