Msaada juu ya hii GPA

Kapige post graduate msee, maana eligibilty criteria ya Masters katika vyuo vyetu mostly ni 3.0
 
Exactly! Ila nilichomfaham nahisi yeye alikuwa anahitaji kuunga moja kwa moja

NI KWELI MKUU LENGO NI KUWEZA KUENDELEA MBELE NA MASTERS BILA KURUDI KUSOMA POSTGRADUATE DIPLOMA
 
Wwe apply unapotaka utapata. Hzo GPA ni kigezo cha mwisho kabisa. Tupo hapa tunafanya masters na wana 2.1. Ila lazima uwe na uzoefu wa kutosha labda pia inategemeana na course.
 
Wwe apply unapotaka utapata. Hzo GPA ni kigezo cha mwisho kabisa. Tupo hapa tunafanya masters na wana 2.1. Ila lazima uwe na uzoefu wa kutosha labda pia inategemeana na course.
MKUU NI APPLY WAPI HAPO UNAPOSEMA WEWE.
 
GPA ya 2.5 kama tujuavyo ni PASS grade sasa je muhitimu wa chuo akipata grade hii anaweza kuendelea na masomo ya masters kama ndio ni chuo gani aombe. pia ina madhara gani katika maisha yake ya kutafuta ajila

ushauri tafadhari.....
unasoma masters coz hujafer wenda mama ndalichako abadli mfumo jtai uwahi
 
We ulienda shule kusoma au kula bumu tu?sasa dume zima unatokaje na gpa ya 2.5?hiyo pesa unayotaka kusomea masters ni bora ukafanyie biashara.shule sio fani yako wewe.
 
Last edited:
We ulienda shule kusoma au kula bumu tu?sasa dume zima unatokaje na gpa ya 2.5?hiyo pesa unayotaka kusomea masters ni bora ukafanyie biashara.shule sio fani yako wewe.
KWA TAARIFA TU TOKA DALASA LA KWANZA NAJISOMESHA NA SIJAWAHI SOMA KWA MKOPO KAMA UNAVYOZANI NA PIA NINA KAZI INAYONILIPA VIZURI NA KUSOMA NIMESOMA KWA KUJIENDELEZA TU NA NATAKA NIJIENDELEZE ZAIDI.... KARIBU KAMA UNA JIPYA HAPO...
 
NIMEKUELEWA KAMANDA BIG UP
 
KWA TAARIFA TU TOKA DALASA LA KWANZA NAJISOMESHA NA SIJAWAHI SOMA KWA MKOPO KAMA UNAVYOZANI NA PIA NINA KAZI INAYONILIPA VIZURI NA KUSOMA NIMESOMA KWA KUJIENDELEZA TU NA NATAKA NIJIENDELEZE ZAIDI.... KARIBU KAMA UNA JIPYA HAPO...
asa ilikuaje ukala hyo 2.5,au ulizidisha kuhangaika na wanawake?
 
CHIGE..umenifungua sana aisee asante sana nalifanyia kazi wazo lako ni zuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…