Caching- ni pahala ISP wanahifadhi files ambapo itamsaidia end user kuyapata kwa urahisi. Kwa mfano kama una installation CD ya ISP basi fles zake zitahifadhiwa kwenye computer yako pale unapoifanyia router yako resetting.
Pia ni sehemu kwenye registry ya computer yako ambapo web files zinahifadhiwa pale unapotembelea websites mbalimbali hivyo kukusadia ku-access kwa uharaka zaidi badala ya ku-type tena web address.
Hosting ni uhifadhi wa web files za kampuni au watu binafsi kwenye web server ya ISP yoyote yule mwenye access ya internet ambae anatoza ushuru wa kiasi fulani kila mwezi.
Na Conduit ni njia ambayo inatumika kupitishia cables au waya za mawasiliano iwe simu, computer na umeme.