Masumbuko Hassani Member Feb 26, 2014 10 6 Apr 29, 2016 #1 Nduhu zangu naomba msaada wa kuweza kufaham bei na kiwango cha faida kwa kuuza luku.kwa machine za max malipo na selecom
Nduhu zangu naomba msaada wa kuweza kufaham bei na kiwango cha faida kwa kuuza luku.kwa machine za max malipo na selecom
mathewa JF-Expert Member Sep 5, 2012 777 1,171 Apr 29, 2016 #2 Faida inategemea na miamala utakayofanya. Wanalipa asilimia 2.5 kwa kila muamala
Masumbuko Hassani Member Feb 26, 2014 10 6 May 11, 2016 Thread starter #4 Ina maana katika kila mauzo ya sh 100,000/= faida yake ni 2,500/= sio