HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,591
We naye ni mmoja wapo wa wajinga. Hivi huko O level mlipitaje?
Maana hadi mtu afike A level maana yake anajua andika hayo mambo. Chuo hawafundishi uandikaji wa barua.
Nyinyi ndio mnaandikiwa CV
Maana hadi mtu afike A level maana yake anajua andika hayo mambo. Chuo hawafundishi uandikaji wa barua.
Nyinyi ndio mnaandikiwa CV
Mkuu
Ule mtihani wa form six wa general studies, physics, chemistry, mathematics au biology kunakuwaga na format ya kuandika barua????????