Msaada juu ya APP ya kuhack

Msaada juu ya APP ya kuhack

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Habari za mda wadau naomba kujua au kufahamu ni app gani ya uhakika na isiyoyakulipia naweza itumia kuhack no ya mtu ili nipate message na call anazozipokea bila yeye kujua.

Nawasilisha ni kwa nia njema tu
 
Kuhack ni kuingilia privacy ya mtu na haishauriwi.

Kama unataka kumfuatilia mpenzi wako acha.

Kwanini? Kwa sababu baada ya kupata unachotafuta unaweza kusababisha madhara na pia kushitakiwa.

Zipo apps lakini ni za kulipia na kama una uhakika utazitumia kwenye matumizi sahihi.

Kwa mfano: unaweza kufuatilia mwenendo wa mtoto wako baada ya kumnunulia simu au kujua alipo anapopatwa na tatizo.

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
naomba mfano wa hzo app
 
Ipo free bt lazima uinstall kwenye device husika
 
Binafsi naweza nika-install app automatically kwenye simu ya mtu yeyote bila kushika simu yake na kufanya nilicho kusudia...
No way mpaka uwe na gmail account yake ama uwe na third part softwares umtumie kitu inaitwa OTA akiifungua tu anakuwa amekupa access
 
Habari za mda wadau naomba kujua au kufahamu ni app gani ya uhakika na isiyoyakulipia naweza itumia kuhack no ya mtu ili nipate message na call anazozipokea bila yeye kujua.

Nawasilisha ni kwa nia njema tu
 
Nikusaidie mkuu kuna app zipo unalipia online spytphone na zingine nyingitu. Zingine unatakiwa uwe na simu ya mhusika uinstalll software watakupa activation code baada ya kulipia nafikiri ni dola 8 kwa mwezi. Price ina range Kutokana na features unazotaka ila hiyo ndo ndogo ya mwisho.
Ukishainstall kwake unadisable notification za hiyo software na playstore then ingia kwenye site yao utaingiza namba ya simu tokea kwenye laptop watakuomba activation code ukishaingiza tu sim ya mhusika inahamia kwenye laptop yako.
Unawezafanya nn
Utasoma sms za simu social media zote
Utarekod calls zote
Utaweza kusikiliza maongezi yake ya kawaida yaan kusikia nn kinaendelea aleneo linalomzunguka.
Utaweza kuona location alipo na kufuatilia amepita wapi katika siku husika endapo tu alienda na simu
Haya yote utayafanya bila mhusika kujua.
Nimemfanyia hivi mchepuko wangu last week saiz analia ovyo tu kama mtoto ukizingatia namsomesha chuo
 
Yeah... Kwa mfano labda kuna issue inaendelea ya ku-hack simu au computer ya mtu, na hio njia haifanya kazi mpaka ui-install software fulani automatic bila ku-shika simu au kompyuta hio mimi naweza kutatua shida hio kwa haraka na urahisi...
 
Kuhack ni kuingilia privacy ya mtu na haishauriwi.

Kama unataka kumfuatilia mpenzi wako acha.

Kwanini? Kwa sababu baada ya kupata unachotafuta unaweza kusababisha madhara na pia kushitakiwa.

Zipo apps lakini ni za kulipia na kama una uhakika utazitumia kwenye matumizi sahihi.

Kwa mfano: unaweza kufuatilia mwenendo wa mtoto wako baada ya kumnunulia simu au kujua alipo anapopatwa na tatizo.

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanajitafutia presha
 
Nikusaidie mkuu kuna app zipo unalipia online spytphone na zingine nyingitu. Zingine unatakiwa uwe na simu ya mhusika uinstalll software watakupa activation code baada ya kulipia nafikiri ni dola 8 kwa mwezi. Price ina range Kutokana na features unazotaka ila hiyo ndo ndogo ya mwisho.
Ukishainstall kwake unadisable notification za hiyo software na playstore then ingia kwenye site yao utaingiza namba ya simu tokea kwenye laptop watakuomba activation code ukishaingiza tu sim ya mhusika inahamia kwenye laptop yako.
Unawezafanya nn
Utasoma sms za simu social media zote
Utarekod calls zote
Utaweza kusikiliza maongezi yake ya kawaida yaan kusikia nn kinaendelea aleneo linalomzunguka.
Utaweza kuona location alipo na kufuatilia amepita wapi katika siku husika endapo tu alienda na simu
Haya yote utayafanya bila mhusika kujua.
Nimemfanyia hivi mchepuko wangu last week saiz analia ovyo tu kama mtoto ukizingatia namsomesha chuo
Umetisha

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom