Toshiba. ila unatakiwa ujue vitu kama size ya HDD, Proc. Speed, RAM size, CD/DVD rom, WIFI, BT, Uzito wake, size ya CD, muda battery kuisha baada ya kuwa charged na unaitaka kwa ajili ya kazi gani ili uweze kuchagua laptop nzuri
Galaxy Computers Arusha atapata cmptr mtumba nzuri sn kwa 540,000.Kaka mm nadhan mashine zote zipo poa ila inategemeana na wewe mwenyewe kua unapenda ipi. Hata hivyo mm nakushauri ununue HP/Compaq hp ni nzuri sana. Suala la bei linategemeana na mkoa ulipo ila kwa sehemu kama Arusha utapata lap safi kwa hiyo bei.
kuna duka fulani lipo uhuru unapata laptop decent kwa sh 520,000. Kama unataka mashine ya kusomea chagua yenye processor ndogo ndogo ili ikae sana na charge.
Kuna topic tulizungumzia suala kama lako ingia link hio hapo chini
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/383629-kuuliza-ni-ujinga.html
Toshiba mpango mzima
Galaxy Computers Arusha atapata cmptr mtumba nzuri sn kwa 540,000.
Nilimnunulia wife cmptr hapo Dell Latitude 6400 ni kama mpya, betri 3hrs unadunda bila wacwac.
Kaka kwa mishemishe za chuo ogopa sana samsung maana zinakufa sana display ukiigongesha kidogo kwenye mishemishe za kugombania shuttle au daladala za mjini me naona bora ununue lenovo hutojuta maana ni jembe ackwambie mtu
Kwa bei hiyo utaishia kupata laptop feki tu!