Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Mkuu, TOSHIBA ni noma wenyewe wanazijuwa, kwa kifupi zina roho ya paka.
mimi kwa upande wangu a laptop is a laptop as long as inakidhi specification nazozitaka lakini HP compaq presario kwangu hapana nimeshuhudia kama 3 zinaungua motherboard.
Toshba si kati ya laptop nazozikubari.