Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Kwa mjibu wa utaratibu uliopo ni kwamba toka mh.. rais kuamulu kwmba jumamosi ya mwisho.ya mwezi watu.. wafanye usafi... ok mimi naunga mkono hilo .. lakin sasa swala la eti.. biashara zifungwe mpaka saa tano ndipo zifunguliwe..kiukweli hapa mim naona kama.watanifunga tuu.haiwezekani supu ya utumbo niibandike saa tano. Huu utakua uongo ningefurahi wangesema mtu anaweza kuamka hata saa kumina moja akifanya usafi wake anaweza kuendelea na biashara ...au ...NAITAJI MCHango....wenu kabla sijaanzisha mzozo ....