Mkubwa ndevu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 1,043 Reaction score 358 Apr 26, 2014 #1 mwenye link yeyote itakayonifanya niipate nyimbo ya jose mara chozi la yatima please anipe hii nyimbo naikubali kweli
mwenye link yeyote itakayonifanya niipate nyimbo ya jose mara chozi la yatima please anipe hii nyimbo naikubali kweli
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,125 Reaction score 15,364 Apr 26, 2014 #2 Mkuu inua maisha ya wasanii wetu kwa kununua kazi harisi....
uncle Lee Member Joined May 12, 2018 Posts 13 Reaction score 4 May 14, 2018 #3 tupo wengu kumbe tunaitaji huo wimbo jamn
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 May 14, 2018 #4 Siku hizi Si yupo clouds FM?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,622 Reaction score 167,448 May 14, 2018 #5 Mkubwa ndevu said: mwenye link yeyote itakayonifanya niipate nyimbo ya jose mara chozi la yatima please anipe hii nyimbo naikubali kweli Click to expand... Kwa hiyo kuulizia Jf ni kazi rahisi kuliko kuingia YouTube? Ukiitwa Zuzumagic namba moja usikatae
Mkubwa ndevu said: mwenye link yeyote itakayonifanya niipate nyimbo ya jose mara chozi la yatima please anipe hii nyimbo naikubali kweli Click to expand... Kwa hiyo kuulizia Jf ni kazi rahisi kuliko kuingia YouTube? Ukiitwa Zuzumagic namba moja usikatae
uncle Lee Member Joined May 12, 2018 Posts 13 Reaction score 4 May 14, 2018 #6 Bujibuji said: Kwa hiyo kuulizia Jf ni kazi rahisi kuliko kuingia YouTube? Ukiitwa Zuzumagic namba moja usikatae Click to expand... ndugu hyo nyimbo nenda google wala upati you tube amna hata huko jaribu utaona kuna nyimbo azipatikan kirahisi mfano hata ile aliimba ali choki mwaka wa tabu nayo utaangaika sana
Bujibuji said: Kwa hiyo kuulizia Jf ni kazi rahisi kuliko kuingia YouTube? Ukiitwa Zuzumagic namba moja usikatae Click to expand... ndugu hyo nyimbo nenda google wala upati you tube amna hata huko jaribu utaona kuna nyimbo azipatikan kirahisi mfano hata ile aliimba ali choki mwaka wa tabu nayo utaangaika sana