Nshukur ndgUshauri; Sio sahihi UALIMU Wa michezo Leo hii hauna soko, zamani kidogo kwa sababu pia ipo Sheria kila shule lazima Uwe na uwanja wa mpira especially football Lkn Leo angalia Mwalimu Yoyote shulen Anaeza chaguliwa kuwa mwl Wa michezo so kwa Leo haina dili