Msaada: Jinsi ya unlock simu aina ya HUAWEI C2281 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Jinsi ya unlock simu aina ya HUAWEI C2281

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Michael Amon, Feb 21, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Naombeni Msaada wenu wa ku unlock hii simu aina ya HUAWEI C2281. Niliinunua simu hii TTCL na ilikuwa inatumia line ya TTCL MOBILE. Sasa hivi siitumii tena kwa hiyo imekaa hapa home kama skrepa tu. Nilikuwa naomba msaada waneu kwa yeyote mwenye ufahamu wa jinsi ya ku unlock hii simu ili iwe inatumia line zote.
   
 2. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kule chit chat si uliaga unaenda chuo? . Sasa maskrepa ya home ya nini tena ? But kma una shida sana na hiyo simu ni PM
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu nimempa sasa anashindwa kuitumia kwa sababu ipo locked ndio maana nataka niiunclock
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  Sijui kuhusu huawei but nafkiri ni kama simu nyengine tafuta software yake ya pc then try kuweka new software version ya simu
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Tatizo hiyo simu haina USB cable mkuu
   
 6. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna njia
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Duh! ya kweli hayo mkuu?
   
 8. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MH MKUU WEWE WAONAJE,MAANA MIMI NILIKUWA NA HUWAEI FLANI NILISHINDWA KU UNLOCK.kwasabb hiyo hiyo.nili search net wapi.

  pole lkn.(labda waweza mpata mtu)
   
 9. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Salaam wote kwa kujaribu kutoa maelezo ya kuunlock HUAWEI c2281,kwanza tuelewane kuwa hii ni CDMA phone not GSM hivyo huwezi tumia tigo ,vodacom,airtel nk waweza tumia zantel na ttcl ,sasatel .....pili kuna special com cable ambayo hutumika kuanlock na software kama EASY CDMA,ref http://forum.gsmhosting.com/vbb/f128/c2288-huawei-invalid-r-uim-card-536524/

  welcome
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Shukrani sana mkuu kwa msaada wako. Nimefanikiwa kunlock
   
 11. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
Loading...