Msaada jinsi ya kuweka audio files kwenye ipad

dendizzo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
966
Reaction score
1,345
Habari wakuu, nimepewa ipad ikiwa na baadhi ya nyimbo, sasa nataka kuongeza zangu kwa kutumia itunes lakini zinagoma. Kuna mtu kaniambia lazima nifute zile za mwanzo... Naomba msaada juu ya hilo kama ndo njia pekee.
 
Inabidi utumie programme inaitwa iTunes ambayo inapatikana bure kwenye mtandao wa Apple, hii hapa link ya programmed hiyo: Apple - iTunes - Download iTunes Now Kisha unachotakiwa ni ku-sync computer na iPad yako hivyo utaziweka nyimbo zako kwenye Computer kwanza kisha ndio kuzi-sync na iPad.

Iwapo iPad yako ilikuwa synced na computer nyingine kabla ya hiyo unayotumia itakubidi ufute nyimbo, picha, ebooks na vitu vingine ambayo vilikuwa synced kwenye computer ya awali.

Zaidi soma mjadala huu: https://discussions.apple.com/thread/4998231?start=0&tstart=0
Good luck.
 
Thank you so much.. Umenipa mwanga.
 
Kama ni "JAILBROKEN ".........tumia Itools 2013

:A S shade:
 
Back
Top Bottom