Msaada: Jinsi ya kuunlock Airtel Huawei Router B68A.

Msaada: Jinsi ya kuunlock Airtel Huawei Router B68A.

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
13,971
Reaction score
34,272
Wakuu nimejaribu njia zote zilizo ndani ya uwezo wangu nimeshindwa. Ukiweka Sim card tofauti haikupi uwanja wa kuandika unlock codes.

Je kuna njia gani tofauti naweza jaribu.

Shukrani.
 
Tuma picha yake tafadhali ya hiyo router na full model
 
Back
Top Bottom