Msaada jinsi ya kuunganisha King'amuzi cha Azam.

KMMS

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
304
Reaction score
587
Wakuu habari za wakati huu....
Naomba mwenye kujua namna ya kuunganisha king'amuzi cha Azam kutoka kwenye receiver ya Azam na Tv nyingine,Kiufupi nina Tv mbili moja ni smart nyingine ni chogo,Hii ya chogo nimeiweka chumbani na ninataka nayo ni iunganishe,Imenishinda naomba mwenye kujua namna ya kuunga anielekeze.
Natanguliza shukran.....!
 
Kwenye Smart Tv tumia HDMI cable kuunga, na kwenye hiyo ya chogo tumia zile cable za rangi rangi 3 (AV) hapo utapata signal sehemu zote mbili
 
Kwenye smart natumia HDMI kama kawaida ila kwenye chogo nashindwa kujua naungaje,hata hio njia ya kuunga kwa kutumia zile cable za rangi rangi bado ni ngumu maana hamna output kutoka kwenye receiver,nimejaribu kuunganisha ila imekataa na mm nataka kuona kote kote chumbani na seblen if possible
 
Unga hizo waya kwenye output ya smart tv kisha peleka kwenye input ya hilo chogo ila ziwe ndefu au zifanyie modification kama unaweza ili ziwe ndefu.
 
kuna systerm nyingi zana za kugawanya signal ndugu ila kulingana na hali ilivyo wengi upenda kutumia local.kwa sasa inabidi hdmi utumie kwenye flat tv na tv ya chogo utumie av.

Maitaji yanayotakiwa
1) coxial cable(waya unaotumiwa kuchukua signal kutoka kwenye dish mpaka kwenye king'amuzi au kwenye antena mpaka kwenye king'amuzi.naimani ushaujua)

2.connecter

3.male to female connecter
Wakuu habari za wakati huu....
Naomba mwenye kujua namna ya kuunganisha king'amuzi cha Azam kutoka kwenye receiver ya Azam na Tv nyingine,Kiufupi nina Tv mbili moja ni smart nyingine ni chogo,Hii ya chogo nimeiweka chumbani na ninataka nayo ni iunganishe,Imenishinda naomba mwenye kujua namna ya kuunga anielekeze.
Natanguliza shukran.....!
 
Shukran Mkuu

Back
Top Bottom