idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 May 7, 2014 #1 wakuu hapa ninapoishi simu yangu inasoma WiFi network available, japo huko nyuma sijawahi kuona kitu kama hiki. Naomba mnisaidie jinsi ya kuunga hii kitu,msisahau kunielekeza faida na hasara zake. Kwa watalaamu tafadhari.!
wakuu hapa ninapoishi simu yangu inasoma WiFi network available, japo huko nyuma sijawahi kuona kitu kama hiki. Naomba mnisaidie jinsi ya kuunga hii kitu,msisahau kunielekeza faida na hasara zake. Kwa watalaamu tafadhari.!
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 May 7, 2014 #2 Wifi zipo nyingi tu, lakini hapa kwetu nyingi inabidi uwe na password yake. Hapo sasa!
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 May 7, 2014 Thread starter #3 FaizaFoxy said: Wifi zipo nyingi tu, lakini hapa kwetu nyingi inabidi uwe na password yake. Hapo sasa! Click to expand... Mkuu ni kweli kila nikijaribu kujiunga inaniomba password, Ina maana hiyo password anakua nayo mmiliki wa mtandao.? Ama siwezi kutumia bila idhini ya mhusika/mmiliki wa wa hiyo Wi-Fi?
FaizaFoxy said: Wifi zipo nyingi tu, lakini hapa kwetu nyingi inabidi uwe na password yake. Hapo sasa! Click to expand... Mkuu ni kweli kila nikijaribu kujiunga inaniomba password, Ina maana hiyo password anakua nayo mmiliki wa mtandao.? Ama siwezi kutumia bila idhini ya mhusika/mmiliki wa wa hiyo Wi-Fi?