Msaada: Jinsi ya kutumia wifi bure

wasaa9

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
566
Reaction score
209
Kama kichwa cha habari tajwa apo juu kinavyosema

Wana jf , mwenye taaluma ya IT (techinician wa mambo ya information and technology ), na hata mtu yeyote asiye na taaluma hiyo lkn anautalaamu anisaidie naamna ya hack any wifi ,mahali popote naamini humu jf watu wenye taaluma hizo hawakosi

Hiyo naomba msaada wenu tafadhali wapendwa katika bwana
 
wanaanzaga hivyo hiyo....kwa sasa ni kujifunza vitu vigumu, jifunze kwanza java
 
Java ndo nn
Java ni kisiwa flani hivi Indonesia [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
kwa mfano unataka kuandika HELLO. WORLD

Utaandika hivi katika lugha ya computer

class HelloWorldApp {
public static void main(String[] args) {
System.out.println("Hello World!"); // Prints the string to the console.
}
}
Mmmhh
 
aisee una safari ndefu sana..started on programming in Java, and study a variety of interesting programs...
Java (programming language)
Nmekwama
 
Naona watu humu hawakusaidii... Wanaanza na hard stuff eti soma java...

In short tumia os inaitwa Kali Linux. Hii ina Kila tool za kuhack WiFi. Binafsi nilifanikiwa kuhack ila ilichukua 5 days[emoji15] [emoji15] hapa nilijaribu kuhack WiFi yangu mwenyewe. Inategemea na uwezo wa PC yako. Unahitaji muda na motivation. Sio lazima uinstall hiyo Os, unaweza kutumia live USB. Research into it. Kuna tools zaidi ya 8. YouTube kuna tutorial za kila tool. Good luck!!!

-callmeGhost
 
Shukrani mkuu, unafaa sana et mara java c kufanya sanaa uku
 
Mkuu kabla sijakupa mbinu nijibu ili swali kipindi cha uchaguzi ulimpigia kura nani mama anna au pombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…