Msaada, jinsi ya kutumia SPSS

Msaada, jinsi ya kutumia SPSS

Kal4kaizy

Member
Joined
May 2, 2012
Posts
66
Reaction score
9
Wakubwa, naomba msaada wa jinsi ya ya kutumia SPSS hasa upande wa ku enter VARIABLES
 
Tunasubiri maana tupo wengi kweli tunaisubiria hiyo tutorial ya ukweli!
 
Tafuta kitabu cha Andy Field title yake ni "discovering statistics using SPSS"! Hapa utapata kila kitu kuanzia SPSS interface/environment mpaka analysis methods kama regression, correlation, chi-square test, factor analysis na nyinginezo. Hichi kilinitoa sana wakati napiga dissertation yangu. Bahati mbaya sina kny soft copy ningewamwagia wadau. Ila vipo kwenye bookshops
 
Back
Top Bottom