msaada jinsi ya kutumia google photo

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,562
2,628
wakuu habari zenu naomba msaada kuhusi google photo hv nikitaka nizistore picha na video zangu pamoja na namba za simu contact kwa ajili ya kujilinda kama simu ikipotea au kuibiwa niset sehemu gani ?
 
2018-06-10-21-11-43.jpg
Ili usave namba za simu kwenye google account lazima uwe na google(ama gmail au yeyote ile). Pia inatakiwa uwe umelog in hiyo account yako.

Ukitaka kusave namba itakuletea option kama inavyoonekana kwenye screenshot, hapo utachagua google account na utaisave.

Kuhusu suala la photo, inatakiwa uwe na App ya Google photo, halafu uweke account yako pale.

Kila picha utakayokuwa unaipiga kwa simu yako itakuwa inatunzwa moja kwa moja kwenye google photo.

Endapo ukioteza simu yako, ukija kununua/kupata nyingine, ukiweka account yako na kulog in kila kitu utakikuta.
 
View attachment 799772Ili usave namba za simu kwenye google account lazima uwe na google(ama gmail au yeyote ile). Pia inatakiwa uwe umelog in hiyo account yako.

Ukitaka kusave namba itakuletea option kama inavyoonekana kwenye screenshot, hapo utachagua google account na utaisave.

Kuhusu suala la photo, inatakiwa uwe na App ya Google photo, halafu uweke account yako pale.

Kila picha utakayokuwa unaipiga kwa simu yako itakuwa inatunzwa moja kwa moja kwenye google photo.

Endapo ukioteza simu yako, ukija kununua/kupata nyingine, ukiweka account yako na kulog in kila kitu utakikuta.
ahsante App ya google photo ninayo nimelog in ila sijaona seheme ya kusave contact
 
Contact unasave kwenye googl account kama inavyoonekana kwenye hiyo picha.

Log in account ya google kwa email yako ndio utaweza kuletewa option kama hiyo kwenye picha
 
Back
Top Bottom