Msaada Jinsi ya kutumia Blackberry.

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,558
Reaction score
109,093
Wakuu poleni na majukumu, kuna mshikaji ameniuzia Blackberry Bold, sasa nataka nisevu email adress yangu lakini nashindwa maana yeye alishasevu ya kwake, na yeye ameshakwenda ughaibuni bado sijapata mawasiliano yake wala hajanijibu emails zangu, sasa msaada ninaoomba ni jinsi ya kudelete ile email yake kwenye yahoo messenger na BB messenger ili niweke email yangu.
Natanguliza Thanks.
 

Sijui kama haya maelezo hapa chini yanaweza kukusaidia, maana unahitajika kuweka username yako una Password ya E-mail unayotaka kui-remove.... Ebu fuata haya maelezo hapa chini kama yanaweza kukusaidia.....

 
Lazima ulipie BlackberyInternetService kuweza fanya email setup
 
mkuu hiwipe ufute info zote za user wa 1 alafu uanza upya nayo kisha upeleke tgo or vda ulipie
 
wakuu .... nina blackberry Storm 9530 ....je ninaweza kupata internet kwa kutumia WAP
 
mkuu hiwipe ufute info zote za user wa 1 alafu uanza upya nayo kisha upeleke tgo or vda ulipie
Mkuu Doctor phone kuwipe ndio nini? elewa mpaka nimekuja kuomba msaada hapa mimi nimecheza nayo nikashindwa sasa naomba msaada wa hatuwa kwa hatuwa kuweza kulifanya hilo. kulipia sio shida kwangu.
 
ni cheap ukilipia internet bundle ya mwezi. Mfano Airtel wao wana charge Tshs. 35,000/= while Tigo ni 20,000/= per month (with unlimited dowloads and surfing)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…