Msaada: Jinsi ya kutuma email kwenda chuo husika

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Habari wakuu natumaini hamjambo,

Mimi ni mmoja miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja na natakiwa ku-confirm chuo ninachokipenda kwa njia ya email

Lakini tatizo ni kwamba Mimi ni mgeni katika matumizi ya email sijawahi Tumia email lakini email ninayo
Hivyo basi kwa yeyote anayefahamu anielekeze jinsi ya kutuma tarifa kwenda chuo husika kupitia email
 
Tatizo langu kama lako ila we una unafuu kwakua email unayo Mimi ndo nimeisahau kabisaa hata cha kufanya sins..

Nifanyaje..
 
Tafuta Raia yeyote aliyekuzidi Akili kidogo akupige Tafu,Au nenda Internate cafe kama haupo Porini sana huwezikosa Msaada.
 
Mm nmechaguliwa pia vingi kuconfrm nashndwa ila kwa email nmeingia sijaona sehem ya ku confirm wngne wakasema et watatuma code nambaa sijui kwel dah
 
Back
Top Bottom