Msaada jinsi ya kutoa write protect katika Flash disk yenye ukubwa wa 60 Gb

Msaada jinsi ya kutoa write protect katika Flash disk yenye ukubwa wa 60 Gb

fansureboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
271
Reaction score
320
Habar wana jamii...
Flash yangu haikubali kuongeza wala kupunguza wala kuifomati kila nkijarib kufanya hivyo vitu inaniandiakia write protect. ...
Msaada Tafadhali kwa mwenye kufaham. ..
Ahsanteni
 
Kuna flash huwa zina kilock kando ambacho unaweza funga au kufungua write protection jaribu kuichek kama na hiyo inacho mkuu
 
Kama flash yako ni Transcend tafuta software yake ufanye online format
 
Kwani write protection si issue Ya software??Sasa itakuwaje itoke kwa njia ya kuUnlock ka Lock

Software ya kutafuta inaitwaje???
 
jaribu njia hii..

right click>properties>security..
hapo kama utaweza kuona hiyo write protection..

au

right click my computer.>manage> device management>right click tena kisha format..

au format kwa command prompt

disk part
 
Back
Top Bottom