MSAADA:;jinsi ya kutest samsung galaxy original

mossad 03

JF-Expert Member
May 15, 2013
523
439
habari wakuu,
nipo katika mpango wa kuvuta galaxy s3.s4 au note 3 used.....issue ni kuwa specifications nazifahamu but sijui jinsi ya kuzicheki kwnu simu zaidi ya ile *@0...!!
ntawezaje kujua kama simu hii inatumia prossesor ya snapdragon n not mediatek...amoled..kuhakikisha its ram n so so on???
karibuni kwa michango n thanks in advance
 
chek hii link uelewe mitaa
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/584294-jinsi-ya-kutambua-processor-ya-simu-na-kuijua-simu-fake-android-3.html
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom