Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

Noah..

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
42
Reaction score
20
Habari zenu waungwana! Kama kuna mwenye ufahamu juu ya kutengeneza wireless charge especially za smartphone!... Maana nimejaribu but matokeo sjayapata niliyotegemea
1522430967757.jpg
 
Unaijua iyo wireless charger muonekano wake??
 
Hiyo wireless charger si moja ya technology mpya kabisa,sasa wewe ndo unataka uitengeneze kienyeji?
 
Nadhani simu zinazochajiwa na wireless charger huwa zina receiver ndani yake kwa ajili ya kufanya mawasiliano na hiyo charger. , sasa ww unataka kubuni wireless charger je simu yako ni ya kisasa?? (Namaanisha ina receiver inside oof it??) . pia uwe makini video nyingi youtube ni za uwongo lengo lao ni kukuvutia tu uangalie ili wapate mshiko
 
Inabidi uwe na ABC za electrical/ electronics.
Kinachofanyika hapo ni induction. Iyo charger inafanya kazi kwa mfumo kama Transformer. Kunakuwa na coil mbili. Primary na Secondary. Primary side inakuwa connected outlet socket ma upande wA secondary unakuwa konected na Simu.

Pia lazima ujue katika transformer tunadeal na AC current tuu na sio DC.

Pia kumbuka vifaa vya electronic vinatumia DC Current ivyo inabidi uwe na njia ya kufanya ku badiri current toka AC kuja DC (Rectification)

Hapo nimeona umezungusha coil kwenye waya wau upande wa USB na upande wa Jack ya simu ukitegemea umeme uvuke upande mmoja kwenda mwingine kwa njia ya induction au magnetism. Hicho kitu hakiwezekani sababu hapo unacheza na umeme wa DC ivyo inabidi ubadirike kwenda AC current ili uwe umefanya kitu kama transformer. Pia pia lazima ujue kwa umeme huo mdogo, magnetic fields haziwez safiri kwa umbali mrefu ivyo unatakiwa uwe na kitu kama iron au vibati vya chuma vitakavyo safirisha magnetic fields btn Coils au utafute ule mkaa wa kwenye Redio za zamani za analogy zinazotumia Variable capacitor au tunaita Genge kutafuta station.

Kwa kifupi hapo kuna mambo yanafanyika kwa kufuata formulas fulani za umeme ili kuleta matokeo channya.

Nimependa aidia yako pia nakusifu kwa uthubutu maana umekata hadi USB yako

Kama una maswali utaniambia. Ili nikucholee na mchoro nini ufanye ili ufanikiwe
 
Kula tano!.nais kama unamjua jamaa anaitwa Somo!!!! Upo 100% sahihi.baada ya pasaka ntaleta mchoro wa hii aina ya chaja
 
Duu hadi kichwa kinauma too deep
 
Back
Top Bottom