Msaada: Jinsi ya Kutengeneza Megamix

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
150
Reaction score
218
Wakuu kwema? Habari za muda huu. Naombeni msaada wenu juu ya hili.

Nawezaje kutengeza zile Megamix, Mfano nyimbo 50. Yani ile playlist moja tu. Niki-Play zinapiga hadi basi.

Huwa naona lakini huwa sijui zinatengenezwa vipi. Je Simu inaweza kutengeza? Sina P.C wala nini.

Kama simu inaweza, Nitumie App gani?

Msaada tafadhali.
 
Ngoja waje wajuzi
 
kama unatumia simu nenda kadownload fl mobile nahisi ndo app inayoweza fanya hivyo kwa ufasaha
 
Muhimu kuwa na Pc yenye Virtual Dj8 (Pg)
Andaa play list yako fungua hiyo program Virtual Dj itakupa muongozo namna ya kurecod kile utacho kuwa unasikiliza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…