Msaada: Jinsi ya kutengeneza mafuta ya nazi

Mvumilivu2

Senior Member
Jul 31, 2014
107
47
Habari wanaJF,
Naombeni kujulishwa namna ya kutengeneza mafuta ya nazi kwa anayejua.
 
hivi ni kweli hakuna anayejua Au ndio dharau, mmeidharau post yangu.

Acha uvivu na ukali kuwa mpole mbona googlw ako na post nyingi tu kuhusu kukamua mafuta ya nazi, hebu fuata hii linki na jisomee mwenyewe
swahilimom.blogspot.com/2013/08/jinsi-ya-kutengeneza-mafuta-ya-nazi.html
 
Harfu uje utupe mafanikio yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom