Msaada: Jinsi ya kutengeneza licence file ya antivirus

Msaada: Jinsi ya kutengeneza licence file ya antivirus

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
63
Naomba kujulishwa jinsi ya kutengeneza licence file ukiwa na serial numbers. Nina avast antivirus 2013 na key zake sasa ili kuiregister inataka niwe na licence file na si key, nifanyeje kutengeneza hiyo licence file?
 
hata ukitengeneza hilo faili ni bure tu, maana lazima avast wa validate detail zako ni genuine (yani umenunua na wamekutumia wao) otherwise wanaliblock, dawa ni kupata crack inayoprevent validation yA license file vinginevyo utakuwa unacheza makida makida
 
Nashukuru kwa hilo ngoja nijaribu kutafuta lakini kama unayo crack jirani nirushie mkuu
 
Back
Top Bottom