Msaada jinsi ya kutengeneza fondant

Naomba msaada kwa yoyote ajuae jins ya kutengeneza fondant
Kuna FONDANT za aina 2


AINA YA KWANZA.1
Hapa unahitaji

1.Mashmallow(eg 1 pakt)
2.Maji nusu kikombe (depends na wing wa mashmallows zako)
3.Bakuli kubwa (la udongo)
4.Rangi uipendayo
5.Vanilla (unaweza kutumia ladha yoyote)

then follow pictures...
 
Najua mashmallow ila fondant ni Nini nijuzeni

Sent from my Z970 using JamiiForums mobile app
 
mmh kama wewe ni mwl wanafunzi watafeli wote maana naona mahitaji tuu kumwambia mtu asiyejua mashmallo atumie maji kulingana na wingi wa mashmallow atakuwa ameelewa nini.
 
Mimi fondant siipendi maana linakuwa likitu linene, lichapati na wasiopenda sukari nyingi hawaweza kula

Mimi nachukua icing suger na changanya na ute Wa yai au griseline ya keki

Navuruga napaka uji mwenyewe (usiwe mwepesi sana) halafu napaka kwenye keki

Fondant maswala ya kusukuma sijui lichapati

invest what you are willing to lose
 
Asante Umenitoa tongo tongo
 
We nae ujui ata kuelekeza
🤷🤷🤷
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…