Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,713
9,835
Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho

Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
 
Nina Group nilikua naelekeza jinsi ya kutengeneza Subtitles lipa 5000 nikuunge

, unahitaji kitumia Software inaitwa Aegisub inatengeneza Subtitles na Aidio Covers then utapakua na software nyengine inaitwa Handshake nafikiri kwaajiri ya ku-burn maneno na video

Nicheki PM ukiwa tajari nimeweka maelekezo yote Telegram basic ukielewa unaendelea tu mwenyewe
 
Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho

Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
Acha kuhangaika, kama tumia capcut ile version ya PC, iko poa sana na ni free na nyepesi kujifunz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…