Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,408
- 1,334
Wakuu huwa napenda kununua internet Unlimited Bundle, lakini nimeona mara nyingi siwezi kutumia hata nusu ya hilo bundle kabla mwezi haujaisha.
Nafikiria kushea matumizi na watu wengine. Je nawezaje kuruhusu watu wanaonizunguka kuintanetika kwene simu zao kwa kutumia bundle langu. Naomba nielekezwe steps.