Natumai umenunua ikiwa 000 au 333,
Cha kufanya bofya pembeni kisha Weka pincode (unazotaka),
huku umebofya pembeni pale then weka lock huku umeshikilia baada ya kuweka lock chezesha zile namba hiyo lock haitatoka mpaka uingize namba(pincode) ulizoziset hapo juu.
Nimejitahidi kuelezea kwa uzoefu nliokuwa nao pole kama hiyo briefcase yako itakuwa tofauti na ninayoelezea na samahani kama sijaeleweka