Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 68
Ningependa kupata za nje mfano Dubai One, MBC Movie, BeIn au hata za kihindi..nimenunua kwa ajili ya FTA za nje za channel za ndani naziona kupitia startimesUnataka kupata channeli zipi za hapa bongo eg ITV Star tv n.k or?
satfinder zipo tele madukani kaka.iliyo bora kabisa bei kuanzia laki 4 kwenda juu lakini pia zipo za bei ndogo kama 50000 lakini ni analogia na hazifai.playstore zipo satfinder kibao ila kutumia sasa ndo kaziivi hiyo satelite finder inapatikana wap na kwa bei gani na je hamna app yoyote kwenye app store naweza kuitumia kama satelite finder
Nauliza unaweza kuseti free sat kwakutumia dish LA fut mbili na nususatfinder zipo tele madukani kaka.iliyo bora kabisa bei kuanzia laki 4 kwenda juu lakini pia zipo za bei ndogo kama 50000 lakini ni analogia na hazifai.playstore zipo satfinder kibao ila kutumia sasa ndo kazi
Ni ngumu mkuu mana Sat nyingi zinazotuma mawimbi free to air FTA zinatuma mawimbi ktk frequency ndogo hivo kuipata sat kwa dish ya futi mbili ni mziki Ila sattelite za KU band ambazo ni high frequency ata dish dogo lina weza kuinasa Satellite, FTA hutumia band Ya C band kumodulate Radio WavesNauliza unaweza kuseti free sat kwakutumia dish LA fut mbili na nusu
Umenena kweli mkuuUshauri wangu tafuta fundi wa kuset dish atakujazia channels kibao kwa dk chache tu na bei zao ni kuanzia 30000. Mambo ya kutumia satellite finder wakati hata satellite zenyewe huzijui ni kujipunguzia tu siku za kuishi
Vip fuji lnb ipo vizuri mkuuGulf star lnb toleo jipya karibu zote mabom. Tafta supermax au eurostar ibadlishe io utaona channel,