Msaada Jinsi ya Kusajili Nembo ya Biashara

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Nataka kuwa na nembo yangu itakayouza product yangu ya UNGA.

Kwa kifupi ni kwamba nataka kumiliki kiwanda kidogo kitakachokuwa kinatengeneza unga wa mahindi na ku pack kwenye viroba vya nusu kilo, kilo moja, kili 2, kilo 5 na kilo 20.

Je, utaratibu wa kutumia nembo yangu mwenyewe unakuwaje? asanteni sana wakuu.
 
mkuuu hebu anza na brela

but unga wa mahindi now wanasema upo ki vitongoji zaidi
hakuna national brands
 
The application for registration of a trade mark/service mark is made by filing a form known as TM/S 2 which is obtained from the office of Registrar of Trade/Service Mark or from Trade and Service Mark agents.


BRELA-Trade and Services
 
Nashukuru mkuu majimoto, nimetoka Brela muda si mrefu! Wameniambia niende tena baada ya wiki moja kuchukua certificate ya business name. Itakuwa wiki 2 sasa. Hainisumbui maana nataka pia kupata uzoefu wa ku register kampuni, na ndo maana situmii agent.

The application for registration of a trade mark/service mark is made by filing a form known as TM/S 2 which is obtained from the office of Registrar of Trade/Service Mark or from Trade and Service Mark agents.


BRELA-Trade and Services
 
mkuuu hebu anza na brela
us.jpg
 
hongera mkuu. ungeweza kupita na tbs ukaangalia utaratibu wa kupata tbs namba. kuna wateja wengine huwa tunatafuta kale kalogo kao manake walau tunajua unawahonga wakaguzi na hali itakua sio mbaya sana
 
kinga'sti na mwenzio

bidhaa za vyakula siku hizi ni tfda na sio tbs......tbs ya zamani......
 
Je wana-furum, nikitaka kusafirisha unga wa mahindi wenye "Quality" nzuri baada ya kuzingatia "Post Harvest Quality" na kusaga vizuri, ni vigezo gani au taratibu zipi nifuatilia ili niweze kusafirisha nje ya nchi? Naona unga wa Azam, Kenya na South Africa unauzika hta U.K??? kwa sisi wachovu na kwa kuzingatia tunaweza tukanunua machine za kusaga na kukoboa kutoka nchini na China na kuweza kupata soko la nje??? Nahisi hapa BRELA haitaitajika!!! MSAADA JAMANI !!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom