Msaada: jinsi ya kusajili E-newspaper

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,348
2,052
Habari wakuu.
Nina mpango wa kusajili kijigazeti ambacho nitaweza kushare na wenzangu kila asubuhi juu ya habari mpya na za zamani. Kwa kuwa humu JF ni jungu kuu, naombeni msaada wa hatua za kusajili na gharama zake.
Namaba:0713-039875
 
Back
Top Bottom