Kama hukufanya backup ya files zako baada ya kuziweka kwenye Vaults basi sahau mkuu, kuna wakati nilihisi files zimepotea au kufutwa ila baadae nilitulia nikaja kuzikuta, baada ya hapo kila nikiweka kitu Vaults lazima nifanyie backup ili lolote litakalotokea ninazirudisha tu dakika sifuriKuna baadhi ya kumbukumbu zangu zikiwemo picha na video niliweka kwenye file la siri la application ya VAULTS, sasa kwa bahati mbaya nikazifuta pasipo kukusudia,nimefanya jitahada zote juziridisha ikiwemo kuwatumia email wamiliki wa hiyo application sijafanikiwa
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu wa kurudisha hzo kumbukumbu kama itawezekana.
Kama hukufanya backup ya files zako baada ya kuziweka kwenye Vaults basi sahau mkuu, kuna wakati nilihisi files zimepotea au kufutwa ila baadae nilitulia nikaja kuzikuta, baada ya hapo kila nikiweka kitu Vaults lazima nifanyie backup ili lolote litajalotokea ninazirudisha tu dakika sifuri
Hakikisha una bundle au data ya InternetNilijaribu kufanya hivyo sema sijafanikiwa mkuu wangu
kama una uhakika ulifuta files husika na huku backup basi ni ngumu ku restore boss wanguIko mkuu ya kutosha
Usi delete App, hata mimi nilitulia kwa muda nikaja kuziona, sasa sijaelewa zilirudi zenyewe au nili overlookNashukuru kwa mawazo mkuu ngoja nisubiri miujiza labda zinaweza rudi automatically