Msaada jinsi ya kurudia mtihani wa NECTA

Unaweza kufanya somo 1,2 au zaidi endapo tu ulishawahi kufanya mtihani kidato cha nne,hiyo ni kwa mujibu wa sheria,lakini kwa utawala wa mikurupuko sijui kama hawajabadilisha style kimya kimya
 
Kwa nini ulicheza shule,Kama umekaa darasani miaka 4 umeshindwa kufanya vizuri unafikiri kwa kurudia mitihani kwa mwaka 1 utafanya vizuri?
Haya huwa ni mawazo ya mjinga asiye na akili maana anadhani kila kushindwa ni uzembe kumbe akili yake ni ndogo imeshindwa kujua kwamba NECTA ni mtihan ambao hufanywa maramoja kwa siku moja kwa kila somo hivyo madhaifu ya kiafya au dharura ikitokea kwa mtu siku hiyo au wiki hiyo tayar imesha leta shida ,

busara huwa ni jambo la bure kabisa hata wewe unaweza ukaweza kwenye elimu na ukashindwa kwenye jambo lingine kwa bahati ,mbaya au dharura sasa sijui tutakuitaje , ndio maana hata serikali imepanga budget lakin ime fail kuitimiza nadhani nayo ilicheza , TUMIA AKILI usijione wewe ndio uko right kwa kila kitu HUNA JIBU FUNGA BAKURI LAKO. SHIT.( kwa niamba ya mtoa mada
 
Sipendi, na nachukia tena sana kwa watu wanaokatisha tamaa wenzao.

KUFELI, kunasababishwa na mambo mengi tu. Kutopata hamasa ya jitihada, mfumo wa mazingira ya shule, maisha kifamilia, makosa ya kiusomaji, n.k.

Anayetaka kurisiti anapaswa atambue kitu gani kilisababisha kufeli. Kujua tatizo ni nusu ya kutibu tatizo.

Naapa, mimi nilipata zero kwa kusoma miaka minne, nikapata div2 kwa mwaka mmoja (nilirisiti).
Kwa hio huo ni uongo tu wa kukatisha watu tamaa SIPENDI KWELI (msisitizo).

Ila mtoa mada namshauri akaze buti saana, maana kurisi si kazi ya kitoto.

JIBU KWA MTOA MADA.
Unaruhusiwa kufanya utakavyo, aidha uliofeli tu au yote.
Ila kwa elimu ya sasa inapoelekea kuwa na vyeti viwili italeta usumbufu baadaye.

Hivyo kufanya yote na ukifanikiwa, utakuwa ni bora kuliko ukifanya uliofeli peke yake.

Kila la heri mkuu.
 
Msiwe mnaquote watu kama hamjazielewa point zao.
 
Thanks
 
Back
Top Bottom