Ungezitja kwanza hizo unazo-zifahamu!
Ili wajuzi waje na alternative way
But kama una pc jaribu kingroot ile pc version
1: enable usb debugging kwa simu yako
2: then connect hyo simu yako na pc via usb
3: Run kingroot
Iache ifanye yake hadi imalize utaona alama ya tick
YOU HAVE DONE!