samyz
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 589
- 311
Wadau naombeni msaada kwa mtu anayejua kurudish acc ya insta coz ilijilog out yenyewe wakidai kwamba nmepost vitu ambavyo sio so wamei disable.kuna screenshot nmeeka below. T. I. A
Updated
Thanks wote kuna email niliwatumua mchana naona nw wamerespond wameirudisha back.
Updated
Thanks wote kuna email niliwatumua mchana naona nw wamerespond wameirudisha back.