slyve Ramon
Member
- Jul 18, 2017
- 65
- 34
Habarin za muda huu wakuu, I hope mko poa back to the topic naomben mnisaidie mweny uelewa kuhus kuacces acc yngu ya insta ,tatz ni kwamb nilibadili password bt pale ilipofka kweny kuverify acc ambapo unatumiwa code kwa phone number ndo shid ilipoanzia coz ile namb siitumii ten ni muda mref sas na naon kashapew mtu mwingne na ndio namb ambayo niliitumia kufungua acc enzi zle najiunga instagram
Inaleta hivi yan[emoji116][emoji116]nimejarbu miez sas nashindw MSAADA wakuu
Inaleta hivi yan[emoji116][emoji116]nimejarbu miez sas nashindw MSAADA wakuu